Mark 11:11

11 aIsa akaingia Yerusalemu na kwenda Hekaluni. Akaangalia kila kitu kilichokuwamo, lakini kwa kuwa ilishakuwa jioni, akaenda zake Bethania pamoja na wale kumi na wawili.

Isa Alaani Mtini Usiozaa

(Mathayo 21:18-19)

Copyright information for SwhKC